Rashidi Kawawa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rashidi Mfaume Kawawa (27 Mei 1926 - 31 Desemba 2009) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 22 Januari 1962 hadi tarehe 13 Februari 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Alifuatwa na Edward Sokoine. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/95/Rashidi_Kawawa_%28cropped%29.jpg)