From Wikipedia, the free encyclopedia
Rasi Kaskazini ni moja kati ya majimbo 9 ya Afrika Kusini lenye takriban 30% ya eneo la taifa lote. Imepakana na Atlantiki, Botswana na Namibia. Jimbo liliundwa 1994 wakati wa kugawa jimbo la Rasi la awali. Mji mkuu ni Kimberley.
| ||||
Mji Mkuu | Kimberley | |||
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Kimberley | |||
Waziri Mkuu | Sylvia Lucas (ANC) | |||
Eneo Nafasi kati ya majimbo - Jumla |
ya 1 361,830 km² | |||
Wakazi Nafasi kati ya majimbo - Jumla (2001) - Msongamano wa watu |
ya 9 822,726 2/km² | |||
Lugha | Kiafrikaans (70%) Kitswana (20%) Kixhosa (6.5%) | |||
Wakazi kimbari | Chotara(51.6%) Waafrika Weusi(35.7%) Wazungu (12.4%) Wenye asili ya Asia(0.3%) | |||
edit |
Miji mingine muhimu ni Upington, Carnarvon, Colesberg, De Aar, Kuruman na Springbok.
Hata kama Rasi Kaskazini ni jimbo lenye eneo kubwa katika Afrika Kusini ni vilevile jimbo lenye watu wachache. Wastani ni wakazi wawili kwa kilomita ya mraba tu.
Hali ya hewa ni kavu hivyo kilimo hailishi watu wengi. Mto Oranje unapita katika jimbo na kuwezesha wakulima wa mizabibu karibu na Upington kumwagilia mashamba yao. Sehemu kubwa ya eneo la jimbo ni Karoo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.