Rasi ya Mashariki
jimbo la Afrika Kusini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Rasi ya Mashariki ni kati ya majimbo 9 za Afrika Kusini. Iliundwa mwaka 1994 baada ya mwisho wa siasa ya Apartheid. Mji mkuu ni Bisho. Jimbo lilianzishwa 1994 wakati wa mwisho wa siasa ya Apartheid kwa kuungaisha sehemu ya mashariki ya Jimbo la Rasi la awali na bantustan za Ciskei na Transkei.
| ||||
Mji Mkuu | Bisho | |||
Mji Mkubwa | Port Elizabeth | |||
Waziri Mkuu | Phumulo Masualle | |||
Eneo Nafasi kati ya majimbo - Jumla |
ya 2 169,580 km² | |||
Wakazi Nafasi kati ya majimbo - Jumla (2001) - Msongamano wa watu |
ya 3 6,436,761 38/km² | |||
Lugha | Kixhosa (83%) Kiafrikaans (9.6%) Kiingereza (3.7%) | |||
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi (87.6%) Chotara (7.4%) Wazungu (4.7%) Asili ya Asia (0.3%) | |||
edit |