Ronald Reagan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ronald Wilson Reagan (6 Februari 1911 – 5 Juni 2004) alikuwa Rais wa 40 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1981 hadi 1989. Kaimu Rais wake alikuwa George H. Bush.
Ukweli wa haraka 40 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Ronald Wilson Reagan | |
Aliingia ofisini Januari 20, 1981 | |
Makamu wa Rais | George H. W. Bush |
mtangulizi | Jimmy Carter |
aliyemfuata | George H. W. Bush |
tarehe ya kuzaliwa | (1911-02-06)Februari 6, 1911 |
tarehe ya kufa | Juni 5, 2004 (umri 93) |
chama | Republican |
ndoa |
|
watoto | 5 |
mhitimu wa | Eureka College |
signature |
Funga