San Francisco
jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
San Francisco ni mji wa Marekani uliopo kwenye mwambao wa Pasifiki katika jimbo la Kalifornia. Ni mji mkubwa wa nne wa Kalifornia ukiwa na wakazi 744,000.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la San Francisco | |||
| |||
Mahali pa mji wa San Francisco katika Marekani |
|||
Majiranukta: 37°46′46″N 122°25′09″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | San Francisco | ||
Tovuti: www.sfgov.org |
Funga
San Francisco iko kwenye rasi kati ya Pasifiki na hori ya San Francisco. Mlangobahari wa kuingia katika hori huitwa "Golden Gate".
Mji hutembelewa na watalii wengi wanaopenda kuangalia daraja la Golden Gate, kisiwa cha Alcatraz na gereza lake, halafu kuzunguka mjini kwa reli za nyaya.
Mji unajulikana pia kwa jumuiya kubwa za mashoga na wabasha.