Sarafu (mfumo)
kitu kilicho thibitishwa kama dhana ya mabadirishano ya huduma au bidhaa / From Wikipedia, the free encyclopedia
Sarafu (ing.: currency) kwa maana ya kisasa ni utaratibu uliopo katika nchi fulani au jumuiya ya nchi zenye pesa ya pamoja unaotawala utoaji na matumizi ya sarafu na benknoti katika eneo hili.