Sayansi ya kilimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sayansi ya kilimo (kwa Kiingereza: agricultural science) ni tawi la biolojia linalojumuisha sehemu za elimu mbalimbali zinazotumiwa katika kilimo.
Mara nyingi hugawiwa katika elimu ya kilimo cha mimea, elimu ya mifugo na uchumi wa kilimo. Tiba ya mifugo mara nyingi haihesabiwi humo.