Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi (kwa kifupi: "Jamhuri ya Kisovyeti ya Kirusi" au: "Urusi wa Kisovyeti") (Kirusi: Росси́йская Сове́тская Федерати́вная Социалисти́ческая Респу́блика, РСФСР RSFSR) ilikuwa kitengo kikubwa kati ya jamhuri 15 za Umoja wa Kisovyeti chenye wakazi wengi. Baada ya mwisho wa Umoja wa Kisovyeti ikawa Shirikisho la Urusi tangu 1991.
Jamhuri ya Kirusi ndani ya Umoja wa Kisoveti | |
Wito la Umoja wa Kisovyeti: Пролетарии всех стран, соединяйтесь! Proletarii bsekh stran, soyedinyaityes (Wafanyakazi wa nchi zote muungane!) | |
Lugha rasmi | hali halisi Kirusi |
Mji Mkuu | Moskva |
Mwenyekiti wa mwisho wa Kamati Kuu ya Bunge | Boris Yeltsin |
Kuanzishwa kama Jamhuri - Jamhuri ndani ya Umoja wa Kisoveti - kufutwa |
7 Novemba 1917 30 Desemba 1922 12 Desemba 1991 |
Eneo
- % maji |
17.075.200 km² (wa kwanza katika USSR) 0,5% |
Wakazi | 147.386.000 (sensa 1989) |
Msongamano | 8,6/km² |
Pesa | Rubel (рубль) |
Kanda za Wakati | UTC +2 hadi +11 |