Sibori (chombo)From Wikipedia, the free encyclopedia Kwa maana nyingine ya neno hili, tazama Sibori (altare). Sibori mojawapo. Sibori (kutoka Kilatini ciborium) ni chombo cha thamani kinachotumika katika Ukristo kwa ajili ya ibada ya ekaristi, hasa kuwekea hostie za kukomunisha waumini.
Kwa maana nyingine ya neno hili, tazama Sibori (altare). Sibori mojawapo. Sibori (kutoka Kilatini ciborium) ni chombo cha thamani kinachotumika katika Ukristo kwa ajili ya ibada ya ekaristi, hasa kuwekea hostie za kukomunisha waumini.