From Wikipedia, the free encyclopedia
Snæfellsjökull ni volkeno iliyopo katika kisiwa cha Iceland yenye kimo cha mita 1,448.
Pamoja na Iceland yote iko mahali ambako mabamba ya gandunia yanakutana, ambao ni bamba la Amerika ya Kaskazini na bamba la Ulaya-Asia na hapo ni sehemu ambako mara kwa mara magma ya ndani ya dunia inatoka nje.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Snæfellsjökull kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.