Steiermark (kwa Kislovenia: Štajerska) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1.211 kwenye eneo la km² 16.392 (2013).
Sehemu ya Jimbo la Steiermark
Mahali pa Steiermark katika Austria
bendera ya Steiermark
Mji mkuu ni Graz. Waziri mkuu ni Franz Voves (SPÖ).