Taasisi ya Goethe
Jumuiya isiyo ya faida ya Jamhuri ya Shirikisho ya Ujerumani kwa ajili ya kukuza lugha ya Kijerumani nje ya nchi na kubadilishana utamaduni wa kimataifa / From Wikipedia, the free encyclopedia
Taasisi ya Goethe (kwa Kijerumani: Goethe-Institut) ni taasisi ya kiutamaduni yenye shabaha ya kufundisha lugha ya Kijerumani na kujenga mawasiliano ya kiutamaduni kote duniani.