From Wikipedia, the free encyclopedia
Topazi ni madini ambayo kikemia fomula yake ni Al2SiO4(F,OH)2.
Ni kati ya madini magumu zaidi (8/10). Kutokana na ugumu na uangavu wake, pamoja na rangi zake mbalimbali, imetumika sana kama kito.
Inatajwa na Biblia pia.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.