UnyofuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Unyofu (kutoka kitenzi kunyoka) ni adili linalojumlisha usahili na usemakweli. Pasipo usahili busara inaelekea kutumia uongo na kugeuka ujanja.
Unyofu (kutoka kitenzi kunyoka) ni adili linalojumlisha usahili na usemakweli. Pasipo usahili busara inaelekea kutumia uongo na kugeuka ujanja.