From Wikipedia, the free encyclopedia
Upele (kwa Kiingereza: rash, jina ambalo linatokana na neno la Kigiriki kwa makaa ya mawe. Jina hilo larejezea upele mweusi unaoibuka kwenye ngozi ya wale wanaogusa wanyama wenye maradhi hayo) ni aina ya ugonjwa unaojulikana kwa kupata vibimbi kwa ngozi.
Upele huambukizwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Upele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.