MtotoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo, asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambapo mtu si mtoto tena. Watoto nchini Namibia. Ramani ya dunia inayoonyesha idadi ya watu wenye umri wa chini ya miaka 15 mwaka 2005. Mara nyingi miaka kabla ya kubalehe inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa kijana.
Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo, asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambapo mtu si mtoto tena. Watoto nchini Namibia. Ramani ya dunia inayoonyesha idadi ya watu wenye umri wa chini ya miaka 15 mwaka 2005. Mara nyingi miaka kabla ya kubalehe inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa kijana.