UvumbaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Uvumba (pia: ubani) ni utomvu mkavu (uliokauka) wenye harufu ya kupendeza ukichomwa. Unapatikana kutoka miti ya aina Boswellia thurifera (pia: Boswellia sacra). Gramu 100 za utomvu mkavu wa uvumba. Uvumba kutoka Yemen.
Uvumba (pia: ubani) ni utomvu mkavu (uliokauka) wenye harufu ya kupendeza ukichomwa. Unapatikana kutoka miti ya aina Boswellia thurifera (pia: Boswellia sacra). Gramu 100 za utomvu mkavu wa uvumba. Uvumba kutoka Yemen.