Uwanja wa michezo wa FezFrom Wikipedia, the free encyclopedia Uwanja wa michezo wa Fez ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana Fez,Moroko. Unatumika sana kwa michezo ya soka na riadha. Uwanja huu una uwezo wa kubeba mashabiki 45,000(Elfu arobaini na tano) na ulijengwa mwaka 2003. Uwanja wa michezo wa Fez
Uwanja wa michezo wa Fez ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana Fez,Moroko. Unatumika sana kwa michezo ya soka na riadha. Uwanja huu una uwezo wa kubeba mashabiki 45,000(Elfu arobaini na tano) na ulijengwa mwaka 2003. Uwanja wa michezo wa Fez