Uwanja wa ndege wa Tanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa ndege wa Tanga (IATA: TGT, ICAO: HTTG) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Tanga nchini Tanzania.
Ukweli wa haraka Uwanja wa ndege wa Tanga English: Tanga Airport, Muhtasari ...
Uwanja wa ndege wa Tanga English: Tanga Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: TGT – ICAO: HTTG – WMO: 63844 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Tanga, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
129 ft / 39 m | ||
Anwani ya kijiografia | 5°5′31.52″S 39°4′18″E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
06/24 | 1,255 | 4 117 | Lami |
14/32 | 1,388 | 4 554 | Udongo/Nyasi |
Takwimu (2003) | |||
Idadi ya abiria | 5,865 | ||
Funga
Kiwanja hiki kiko kilomita 5 (maili 3.1) kusini magharibi mwa mji. Maruko la ndege kiratiba zimepangwa kuelekea miji wa Arusha na Dar es Salaam; na visiwa vya Pemba na Unguja.