Valerius Valens
From Wikipedia, the free encyclopedia
Valerius Valens (alifariki 1 Machi 317) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Licinius kwa miezi michache kuanzia mwishoni mwa 316 hadi mwanzoni mwa 317.
Alimfuata Konstantino Mkuu na kufuatwa naye.