VorarlbergFrom Wikipedia, the free encyclopedia Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la km² 2,601. Sehemu ya Jimbo la Vorarlberg Mahali pa Vorarlberg katika Austria bendera ya Vorarlberg Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).
Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la km² 2,601. Sehemu ya Jimbo la Vorarlberg Mahali pa Vorarlberg katika Austria bendera ya Vorarlberg Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).