Waraka kwa Waroma
ya sita kitabu Agano Jipya, mchanganyiko 16 sura ya / From Wikipedia, the free encyclopedia
Waraka kwa Waroma ni kitabu kimojawapo cha Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Andiko hili ni barua ya Paulo wa Tarso kwa ushirika wa Wakristo katika mji mkuu wa Dola la Roma.
Maelezo zaidi Agano Jipya ...
Funga
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.