MzunguFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mzungu ni neno la Kiswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka Ulaya. Wote Watu wa Ulaya lakini si wazungu! (Waingereza wazawa mbunge Diane Abbott, mwigizaji wa filamu Adewale Akinnuoye-Agbaje, waziri Paul Boateng, modeli Naomi Campbell, mwimbaji Craig David)
Mzungu ni neno la Kiswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka Ulaya. Wote Watu wa Ulaya lakini si wazungu! (Waingereza wazawa mbunge Diane Abbott, mwigizaji wa filamu Adewale Akinnuoye-Agbaje, waziri Paul Boateng, modeli Naomi Campbell, mwimbaji Craig David)