333 KK

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Makala hii inahusu mwaka 333 KK (Kabla ya Kristo).

Remove ads

Matukio

Ugiriki wa Kale / Uajemi

  • Aleksander Mkuu anaendelea na vita katika Anatolia dhidi ya Uajemi. Anafungua fundo la Gordion kwa kuikata.
  • Novemba - Mapigano ya Issos, Aleksander anashinda jeshi la Mfalme Mkuu Darius III wa Uajemi. Mfalme anakimbia lakini mke na watoto wake wanakamatwa na Wagiriki.

Roma ya Kale

Waliozaliwa

  • Zenon wa Kition ni mwanafalsafa Mgiriki na mwanzisilishaji wa falsafa ya stoa († 264 KK)

Waliofariki

  • Memnon wa Rhodos aliyekuwa jemadari Mgiriki wa kukudoshwa
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads