8701

From Wikipedia, the free encyclopedia

8701
Remove ads

8701 ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji aitwaye Usher, iliyotolewa na Arista Records mnamo 7 Agosti 2001.

Ukweli wa haraka Studio album ya Usher, Imetolewa ...

Usher alishirikiana na mwimbaji na msanii Jermaine Dupri. Wasanii wengine walioshiriki ni kama P. Diddy, Bryan Michael Cox na Babyface.

Albamu hii ilifika namba nne kwenye chati ya Billboard 200 na namba moja nchini Uingereza na tangu siku hiyo ilithibitishwa 4x platinum na RIAA.[1]

Remove ads

Nyimbo zake

Amerika ya Kaskazini

Maelezo zaidi #, Jina ...

Toleo la kimataifa

Maelezo zaidi #, Jina ...
Maelezo zaidi Japan Bonus Track, # ...
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2001), Aina ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads