Abdullah bin Faisal Al Saud

From Wikipedia, the free encyclopedia

Abdullah bin Faisal Al Saud
Remove ads


Abdullah bin Faisal Al Saud (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa Mfalme wa Saudia, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa wa al-Sudairi familia ya Najd.

Ukweli wa haraka
Ukweli wa haraka House of Saud, Offspring ...
Remove ads

Kazi

Alianza huduma yake ya kiserikali kama Makamu wa Mfalme wa Hejaz mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Masuala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na baba yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.

Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni Al Faisaliah Group ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudia za mseto. Alikuwa Mwenyekiti wa shirika la msaada maarufu la King Faisal Foundation, pia alikuwa mshairi.

Remove ads

Kazi zake.

Machapisho yake yamehakikiwa sana; hayo ni pamoja na:

  • Mahrum: Min Wahye al Hirman
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah bin Faisal Al Saud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads