Adamu wa Fermo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Adamu wa Fermo, O.S.B. (Fermo, Marche, karne ya 12 – Fermo, 1209 au 1213) alikuwa mkaapweke, halafu mmonaki Mbenedikto wa Italia aliyefikia kuwa abati wa monasteri yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads