Adelardus Kilangi
Mwanasheria From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adelardus Kilangi ni Mwanasheria Mkuu wa Tanzania. Aliingia katika nafasi hiyo mnamo Februari 2018 kwa kuchukua nafasi ya George Masaju[1].
Aliteuliwa tena mwaka 2020 kuendelea kuhudumu baada ya kipindi cha kwanza kumalizika mnamo Oktoba 2020[2] na atakuwamo katika Bunge la 12 la Tanzania.
Profesa Kilangi amefanya kazi za utafiti na kutoa ushauri mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Viungo vya Nje
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads