Afrika ya Magharibi

Eneo la magharibi kabisa la bara la Afrika From Wikipedia, the free encyclopedia

Afrika ya Magharibi
Remove ads

Afrika ya Magharibi ni ukanda wa magharibi kwenye bara la Afrika.

Thumb
Afrika ya Maghribi (Kanda ya UM); Maghrib

Kwa kawaida huhesabiwa humo nchi zilizo kati ya jangwa la Sahara na Bahari ya Atlantiki. Upande wa mashariki ukanda huu unaishia kwenye mstari kati ya mlima Kamerun na ziwa Chad.

Katika lugha ya Kiarabu nchi za Afrika ya kaskazini-magharibi zinaitwa "Maghrib" yaani "Magharibi" lakini ni sehemu ya ukanda wa Afrika ya Kaskazini.

Ukanda wa Afrika ya Kakazini ya UM una nchi 16 zifuatazo pamoja na visiwa vya Kiingereza vya Saint Helena:

Maelezo zaidi Bendera, Nchi ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads