After the Music Stops (albamu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

After the Music Stops (albamu)
Remove ads

After the Music Stops ni albamu ya mwanamuziki wa Kikristo Lecrae iliyotolewa mwaka wa 2006. Albamu hii ilichaguliwa kwa tuzo ya Stellar ya Rap/Hip-Hop/Gospel CD of the Year ingawa haikushinda.

Ukweli wa haraka Albamu ya Lecrae Moore, Imerekodiwa ...
Remove ads

Nyimbo katika albamu

  1. "After the Music Stops"
  2. "Jesus Muzik" (akimshirikisha Trip Lee)
  3. "I Did It for You" (akimshirikisha Diamone)
  4. "The Truth"
  5. "Run"
  6. "Send Me"
  7. "It's Your World" (akiwashirikisha Redeemed Thought & Sho Baraka)
  8. "Grateful" (akimshirikisha J.R.)
  9. "The King Intro"
  10. "The King" (akimshirikisha FLAME)
  11. "Invisible" (akimshirikisha Diamone)
  12. "Get Low"
  13. "Prayin' for You"
  14. "Nobody" (akimshirikisha Cam)
  15. "Death Story"
  16. "Unashamed" (akimshirikisha Tedashii)
  17. "El Shaddai" (wimbo wa Cam,kutoka albamu yake Just Listen)
  18. "Jump" (wimbo huu unajulikana pia kama "Leap of Faith")
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads