Agartala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agartala ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tripura katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 370,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 16 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 13 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Agartala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads