Al Pacino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Al Pacino
Remove ads

Alfredo James "Al" Pacino (amezaliwa tar. 25 Aprili 1940) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huyu amepata kushinda Tuzo ya Academy akiwa kama Mwigizaji Bora, Tuzo ya Emmy, Tuzo ya Tony mbili. Huenda akawa anafhamika zaidi kwa kucheza kama Tony Montana kutoka katika filamu ya Scarface na Michael Corleone kwenye filamu ya The Godfather.

Ukweli wa haraka Al Pacino ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...


Remove ads

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al Pacino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads