Alaverdi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alaverdi (Kiarmenia: Ալավերդի, pia umepewa jina la Kirumi kama Alawerdy, Alaverdy, na Allaverdy; zamani uliitwa Manes) ni mji uliopo mjini kaskaini-mashariki mwa mkoa wa Lori huko nchini Armenia, siyo mbali na mpaka wa nchi ya Georgia. Mji huu wenye machimbo ya madini na viwanda wenye wakazi 13,225.

Tazama pia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads