Allvar Gullstrand

From Wikipedia, the free encyclopedia

Allvar Gullstrand
Remove ads

Allvar Gullstrand (5 Juni 1862 28 Julai 1930) alikuwa daktari wa macho kutoka nchi ya Sweden. Hasa alichunguza mfumo wa jicho. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Thumb
Allvar Gullstrand
Thumb

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allvar Gullstrand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads