Ally Salim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ally Salim ni mlinda mlango wa Simba Sports Club (Simba SC) nchini Tanzania. Amezaliwa tarehe 19 Aprili mwaka 2000 na urefu wake ni sentimita 180.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads