Anoreksia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Anoreksia inaweza kurejelea:


Hali ya kula


  • Anoreksia (dalili), ni dalili ya ukosefu wa hamu ya kula chochote kile kiko
  • Anoreksia navosa, hali ya ulaji usio wa kawaida kwa kupoteza uzito wa mwili kupindukia na pia kuwa na wasiwasi mwingi usiostahili kuhusu umbo la mwili
  • Anoreksia "ya miujiza", haswa kwa wanawake wazima na hamadi ambao hujinyima chakula, wakati mwingine hadi kifo, kwa jina la Mungu


Mahusiano


  • Anoreksia ya kingono, ni neno linalotumika kuelezea ukosefu wa "hamu" ya mwingiliano wenye vitendo vya kufanya mapenzi
Muziki



  • Anoreksia Navosa (bendi) bendi ya muziki wa kiokestra aina ya "Black Metal"(midundo ya gita,sauti na ngoma iliyo kasi) ya Ufaransa
  • Anorexia Nervosa, albamu yenye sehemu mbili ambayo inajumuisha Anorexia (albamu) na Nervosa (albamu), iliyoimbwa na bendi ya Showbread


Remove ads

Tazama pia

  • Anorexia nervosa (Anoreksia "ya miujiza")
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads