Ardhi
ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Neno ardhi laweza kumaanisha:
- Nchi kavu yaani sehemu ya dunia ambayo haijafunikwa na maji
- Udongo yaani sehemu ya juu kwenye uso wa nchi ambako mimea huweza kuota.
- Dunia yetu kwa jumla
- Ardhi (kiuchumi), ambayo ni sehemu ya uzalishaji wa rasilimali zilizoko.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads