Arthur Holly Compton

From Wikipedia, the free encyclopedia

Arthur Holly Compton
Remove ads

Arthur Holly Compton (10 Septemba 1892 15 Machi 1962) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1927, pamoja na Charles Wilson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Holly Compton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Arthur Compton kwenye jarida la Time
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads