Athol Fugard
Mwandishi wa tamthilia wa Afrika Kusini (1932-2025) From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Athol Fugard (amezaliwa 11 Juni 1932 na alikufa mnamo 8 Machi 2025) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa ameandika tamthiliya. Baadhi ya tamthiliya zake zimetumiwa kwa kubuni filamu. Naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, k.m. katika Gandhi Fugard aliigiza Jenerali Jan Smuts.
Remove ads
Maandishi yake
- No-Good Friday (1958)
- Nongogo (1959)
- The Blood Knot (1961)
- Hello and Goodbye (1966)
- People are Living There (1968)
- Boesman and Lena (1969)
- Sizwe Bansi is Dead (1972, pamoja na John Kani na Winston Ntshona)
- The Island (1973, pamoja na John Kani na Winston Ntshona)
- A Lesson from Aloes (1981)
- My Children! My Africa! (1990)
- Playland (1992)
- Master Harold and the Boys (1993)
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Athol Fugard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads