Audrey Wurdemann

From Wikipedia, the free encyclopedia

Audrey Wurdemann
Remove ads

Audrey Wurdemann (1 Januari 1911 20 Mei 1960) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Aliolewa na mwandishi Joseph Auslander mwaka wa 1932. Mwaka wa 1935 Wurdemann alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Audrey Wurdemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Audrey Wurdemann alivyochorwa kwa penseli
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads