BASIC
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
BASIC ni lugha ya programu. Iliundwa na John George Kemeny na ilianzishwa tarehe 1 Mei 1964. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia Mono BASIC. Ilivutwa na FORTRAN.
Inaitwa BASIC kwa sababu ni kifupi cha "Beginners' All-purpose Symbolic Instruction Code".
Remove ads
Historia
Ilianzishwa 1 Mei 1964 nchini Marekani. Lakini John George Kemeny alianza kufanya kazi kuhusu BASIC mwaka wa 1960.
Falsafa
Namna ya BASIC ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
Sintaksia ya BASIC ni rahisi sana, kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya FORTRAN, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya BASIC
Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
10 PRINT "Jambo ulimwengu !"
20 END
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
INPUT "INGIA NAMBA MOJA:", N
F = 1
FOR I = 1 TO N
F = F * I
NEXT I
PRINT "FACTORIA NI", F
END
Tanbihi
Marejeo
- Sammet, Jean E. (1969). Programming languages: history and fundamentals. Englewood Cliffs, N.J.: Prentice-Hall. OCLC 819683527.
- Lien, David A. (1986). The Basic Handbook: Encyclopedia of the BASIC Computer Language (3rd ed.). Compusoft Publishing. ISBN 9780932760333. OCLC 12548310.
- Kemeny, John G.; Kurtz, Thomas E. (1985). Back To BASIC: The History, Corruption, and Future of the Language. Addison-Wesley. p. 141. ISBN 9780201134339. OCLC 11399298.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads