Bad Ems
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bad Ems ni mji mdogo kwenye Jimbo la Rhine-Palatino huko Ujerumani.
Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho ya kutosha. Watumiaji wanaombwa kuchunguza tena lugha, viungo na muundo wake. Wakiridhika na hali yake wanaweza kuondoa kigezo hiki kinachoonekana kwenye dirisha la kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} .





Bad Ems ipo ukingo ya mto Lahn, Bad Ems pia ni mji wa halmashauri wa wilaya ya Rhine-Lahn.
Bad Ems ni mji wa spa, kuna watu wengi wa wanafika kwa kufanya rehabilitationi. Watu wengi wanajua Bad Ems isothermi pia.
Juu ya mlima kuna hospitali wa Hufeland, hospitali wa Paracelsus na bustani ya spa, pia. Bad Ems ipo sehemu ya ardhi mbili, kaskazini ya mto Lahn ni Westerwald, kusini wa Lahn ni Taunus.
Huko Bad Ems kuna vituo vya reli mbili Bad Ems na Bad Ems West (Bad Ems magharibi), zinahudumiwa na DB Regio, sehemu Lahn-Eifel-Bahn. Vituo vyote kuna huduma za mstari RB23 (Limburg - Diez - Bad Ems - Koblenz - Andernach - Mendig - Mayen. Kituo cha Bad Ems kuna huduma za mstari RE25 (Giessen - Wetzlar - Weilburg - Limburg - Diez - Koblenz pia.
Pia kuna treni za mlima Kurwaldbahn, zinaendeswa otomatiki kutoka jiji hadi mlima.
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti ya halmashauri ya jiji Bad Ems Ilihifadhiwa 9 Machi 2009 kwenye Wayback Machine. (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads