Bahari za China
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bahari za China ni mfululizo wa bahari za pembeni katika Pasifiki ya magharibi, karibu na China.[1] [2]
Bahari hizo ni:
- Bahari ya Njano (ikiwa na Bahari ya Bohai na Hori ya Korea)
- Bahari ya Mashariki ya China
- Bahari ya Kusini ya China
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads