Bakaffa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bakaffa
Remove ads

Bakaffa (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni Iyasu II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bakaffa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
sehemu ya Bakaffa
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads