Bantu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bantu inaweza kumaanisha:
- Wabantu ambao ni wasemaji wa lugha za Kibantu katika bara la Afrika wanaoishi hasa Afrika ya Kusini, Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kati.
- Lugha za Kibantu
- Bantustan iliyokuwa eneo maalumu kwa kwa ajili ya Waafrika weusi katika Afrika Kusini wakati wa apartheid (ubaguzi wa rangi)
BANTU inaweza kumaanisha:
- Black Association for Nationalism Through Unity, kundi la wanaharakati kundi la vijana katika miaka ya 1960
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads