Bassey Akpan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bassey Abobo Akpan (amezaliwa 6 Januari 1984 jijini Eket, Jimbo la Akwa Ibom) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambae anacheza kama golikipa klabu ya ligi kuu ya Nigeria (NPFL), Kano Pillars.[1]

Heshima
Kimataifa
Nigeria U-17
- Mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA la U-17: 2001
- Mshindi wa CAF U-17 Championship: 2001
Nigeria
- Mshindi wa Kombe la Mataifa ya WAFU: 2010
Taifa
Bayelsa United
Heartland FC
- Mshindi wa Kombe la FA la Nigeria: 2011[4]
Akwa United
- Mshindi wa Kombe la Super Cup ya Nigeria: 2016
- Mshindi wa Super Four ya Nigeria: 2016
Kimataifa
Heartland FC
- Mshindi wa pili wa Ligi ya Mabingwa wa CAF: 2009
Bayelsa United
- Nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF: 2009
Hoang Anh Gia Lai FC
- Nafasi ya tatu ya V.League 1: 2013
Binafsi
- Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Dunia la FIFA la U-17 wa mwaka 2001 FIFA U-17 World Championship
- Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Mataifa ya WAFU wa mwaka 2010 WAFU Nations Cup
- Bingwa Mlinda lango Bora wa V-League 2012
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads