Bendera ya Sudan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bendera ya Sudan
Remove ads

Bendera ya Sudan imetumika tangu 20 Mei 1970. Ina milia mitatu ya kulala ya nyekundu, nyeupa na nyeusi pamoja na pembetatu ya kijani.

Thumb
Bendera ya Sudan
Thumb
Bendera ya Sudan kati ya 1956-1970
Thumb
Bendera ya Sudan ya Kusini (SPLA)

Rangi ya milia mitatu ni rangi za Umoja wa Waarabu ni sawa na bendera za Misri, Syria, Irak na Yemen. Pembetatu ya kijani inaonyesha rangi ya nne kati ya rangi wa Waarabu ni rangi ya Uislamu na mtume Mohamed.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads