Bernard Agré
Kadinali wa Ivory Coast From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bernard Agré (2 Machi 1926 – 9 Juni 2014) alikuwa Askofu Mkuu wa Abidjan, Côte d'Ivoire, na kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]
Wasifu
Alizaliwa Monga, Côte d'Ivoire[2]. Alisoma katika Seminari ya Bingerville ambako alisomea falsafa, kisha akaendelea katika Seminari Kuu ya Quidah, Dahomey (sasa Benin), ambako alisomea theolojia. Hatimaye, kati ya mwaka 1957 hadi 1960, alisoma katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Urbaniana huko Roma, ambako alipata shahada ya uzamivu (PhD) katika theolojia kwa heshima ya juu zaidi, summa cum laude.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads