Bhubaneswar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bhubaneswar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Orissa katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 650,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 33 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bhubaneswar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads