Bidii

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bidii

Bidii (kutoka neno la Kiarabu) ni ile hali ya kuonyesha juhudi za dhati katika kufanya jambo fulani, kwa mfano darasani. Bidii ya mtu inaweza ikamfanya afikie malengo makubwa anayotaka na kujiona yeye ni wa juu. Pamoja na yote hayo sisi binadamu huwa tunafanya bidii ili tufikie malengo yetu tunayoyataka.

Thumb
Kikundi cha watu wakionyesha juhudi kwenye kazi

Kwa kawaida tunaweza kuchochea bidii yetu na ya wengine ama kwa hamasa au motisha fulani ama kwa kitisho au adhabu fulani.

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.